Goma -DRC.
WAKATI mapigano yakizidi kuwa makali kati ya wanajeshi wa DR
Congo (FARDC) na kundi la waasi wa M23, wanajeshi wa DRC wako hatarani
kushitakiwa kwa tuhuma za kuwatesa waasi na kunajisi maiti zao.
Wanajeshi hao wanatuhumiwa kwa kosa la kukiuka haki za binadamu
na sheria za Umoja wa Matifa (UN) inayokataza ukiukwaji wa haki za
binadamu huku ukikataza watuhumiwa na mateka wa
↧