Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Ajali Yaua 22 Morogoro, Rais Samia Aomboleza

$
0
0

WATU 22 wamefariki dunia huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani ikihusisha basi lenye namba za usajili T 732 ATH mali ya Kampuni ya AHMEED linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Tanga kugongana uso kwa uso na lori lenye namba IT 2816 eneo la Melea kibaoni barabara ya Iringa-Morogoro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslim amesema, ajali hiyo imetolea Ijumaa  Machi 18,  2022 saa 10 jioni wakati basi la Ahmed likitokea Mbeya kwenda Tanga kugongana na lori la lilikokuwa likisafiri kwenda nje ya nchi.

Amesema ajali imetokea wakati lori hilo likijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki ndiyo likagongana na basi hilo, yakanasana na kusababisha vifo vya watu 13 papo hapo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>