Kuna
tetesi kuwa Ommy dimpoz amepigwa mawe jukwaaani dodoma na
kushindwa kufanya show ya kilimanjaro music award dodoma.
Wadau toka Dodoma
wasema msanii yoyote atakaye mdiss msanii wa dodoma hawatamruhusu kufanya show Dodoma na watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo kwa Ommy
Tunafuatilia undani wa habari hii
<!-- adsense -->
↧