Kulikuwa na kizaazaa katika
eneo la transami huko embakasi hapa jijini baada ya wanawake wawili
kuvuliwa nguo na kusazwa uchi wa mnyama.
Kisa na maana walikamatwa kwa
madai ya walitaka kumuibia mwanamume mmoja, ambaye waliandamana naye
nyumbani kwake jana usiku kwa starehe.
Inadaiwa walimtilia dawa- bwana
huyo akalaa fofofo...aliamkia purukushani nyumbani kwake.makinika na
↧