$ 0 0 Msanii wa muziki Bongo kutoka kundi la Weusi, G Nako anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Tingisha ambao amemshirikisha Naphie. Itazame hapa.