$ 0 0 Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Mohamed Dewj na watu wasiojulikana wiki iliyopita ya october 11 2018 katika hotel ya Collesiums.Msikilize hapo chini