Hivi
sasa suala hili linaonekana kiusalama zaidi badala ya kuliona kama
suala la kijamii na maendeleo lenye kuhitaji kujenga imani ya wananchi.Suala
hili linahitaji muda na heshima kwa wananchi. Ni vema tuache sauti ya
wananchi kusikika na kuzitolea maamuzi sahihi yenye kujenga kuaminiana
na kuheshimiana kati ya dola na wananchi.Suala la Mtwara ni
zaidi ya gesi asilia. Ni matokeo ya
↧