Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Busisi waanza kutumia tiketi za kielectroniki

Waziri wa ujenzi, Mh. Dk. John Magufuli ameitaka ofisi ya wakala wa ufundi na umeme (TEMESA), kuboresha maslahi ya watumishi wa vivuko ili kuepukana na wizi wa mafuta yanayotumika katika kuendeshea...

View Article


Nisha na Mpenzi Wake Wamwagana

Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’  na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.   Chanzo kimoja kimedai  kwamba Nisha na...

View Article


Aunt Lulu Aanza Mwaka Vizuri kwa Kupima UKIMWI

Zikiwa zimepita siku chache tangu mwaka wa 2015 uanze, mwanadada mwenye umbo matata Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ amekiri kuuanza vizuri baada ya kupima ngoma.   Akizungumza na Gpl, Anti Lulu...

View Article

Wenyeviti Ilala waapishwa chini ya ulinzi mkali

Zoezi la kuwaapisha jumla ya wenyeviti 154 wa serikali za mitaa walioshinda katika maeneo mbalimbali manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam limefanyika jana katika ukumbi wa Anatogro, chini ya ulinzi...

View Article

Mwanamke huyu afunga ndoa na Paka

Dunia haishi maajabu na maajabu yamekuwa yakitokea siku hadi siku na yanatokea karibu kila mahali. Mwanamke mmoja huko nchini Marekani aitwaye Barbarella Buchner ametoa kali ya mwaka 2015 baada ya...

View Article


Escrow yasimamisha watumishi 7 Wizara ya Fedha

Naibu waziri wa fedha nchini Tanzania Mwigulu Nchemba amesema serikali imewasimamisha kazi watumishi Saba wa wizara hiyo kupisha uchunguzi wa kashfa ya fedha za Akaunti ya Tegeta ESCROW. Waziri...

View Article

Watakaoshindwa kujenga Maabaara kutimuliwa - Pinda

Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema viongozi wa serikali ambao watakuwa hawajakamilisha kazi ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari  watafukuzwa kazi kwa kushindwa kutekeleza agizo la serikali....

View Article

Aunty Ezekiel na Wema Sepetu Waangua Vicheko Kaburini kwa Ngwea, Wapita Njia...

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, waigizaji Wema Sepetu na rafiki yake Aunt Ezekiel wameonekana wa kiangua kicheko na kutuma mesegi kwa simu wakiwa juu ya kaburi  la aliekuwa msanii wa Bongo Fleva,...

View Article


Waziri Mahanga anusurika kipigo.....Polisi wamuokoa chini ya ulinzi mkali,...

Wakati utata ukizidi kujitokeza katika uapishaji wa viongozi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na waliodaiwa kushinda kuwekwa kando na kuapishwa walioshindwa, Naibu Waziri wa Kazi na...

View Article


Jaji Mkuu mstaafu Samatta na Prof. Safari watoa ushahidi kesi ya Dk. Slaa

Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta jana alipanda kizimbani kutoa ushahidi katika Mahakama ya Wilaya ya Hai tukio lililovuta hisia za wananchi wengi kwani ni la kwanza na la aina yake kwa kiongozi wa...

View Article

"Panya Road" waliotiwa mbaroni wafikia 953

Vijana 953 wanaodaiwa kujihusisha na vitenda vya kihalifu chini ya kundi maarufu la ‘Panya Road’ wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Watuhumiwa hao wamekatwa katika mikoa ya...

View Article

Kuna hii taarifa ya Askari aliyejiua ndani ya ghala la Silaha la Polisi...

Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Mbozi, Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya ghala la kuhifadhia silaha katika kituo hicho.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed...

View Article

Baba ajinyonga akidhani amemuua mwanaye kwa kipigo

Mkazi mmoja wa Kijiji cha Bushembe, wilayani Muleba, mkoani Kagera amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya kumpiga mwanaye na kumpasua kichwa.   Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Dickson Wilson alimtaja...

View Article


Picha za Lulu Michael Zatikisa Mitandao ya Kijmanii

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta 'Lulu' akiwa katika mapozi tofauti baada ya kuachia picha hizi kupitia account yake ya Instagram siku ya jana na kupelekea kutikisa katika mitandao ya...

View Article

Ni kweli Matonya aliwekewa madawa kwenye pombe? Alewa na kukutwa vichakani...

Hitmaker wa ‘Anita’ Matonya aliwekewa vitu vinavyohisiwa kuwa ni madawa kwenye pombe aliyokuwa akinywa, kwa mujibu wa Rich One ambaye ni jirani yake. Picha ya Matonya inayomuonesha akiwa amelala...

View Article


Afisa Mtendaji wa Kijiji ashushiwa kipigo, Vunjo......Kosa lake ni...

Wananchi wa kijiji cha Nduoni kata ya Kirua Vunjo magharibi mkoani Kilimanjaro wamefunga ofisi ya kijiji na kumpiga afisa mtendaji wa kata hiyo kwa madai ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi uliopita...

View Article

Mapacha Walioungana Wafariki Dunia

Watoto mapacha wa kike waliozaliwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo mjini Musoma wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo wamefariki dunia jana majira ya saa 9.10 Alasiri wakiwa...

View Article


Penzi Kinyume na Maumbile Lamtesa Lungi

Msanii wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema kuwa mpenzi wake amekuwa akimsaliti kila kukicha huku akihisi kuwa, huenda wanawake anaowafuata huko nje wanampa mapenzi kinyume na maumbile....

View Article

Wanafunzi Form One "Wakacha" shule Dodoma

Ikiwa ni wiki moja sasa tangu shule zifunguliwe Mkoani Dodoma ni wanafunzi 18 kati ya 274 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ndiyo waliofika kuanza masomo yao katika shule tatu za kata...

View Article

Wenyeviti Wapya wa Mitaa wataka Serikali Ianze Kuwalipa Mishahara

Wenyeviti  wa serikali za mitaa na wajumbe wao katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji wameapishwa jana kuanza kutumikia wananchi kulingana na nafasi zao.   Wakizungumza kwa nyakati tofauti,...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>