Sihusiki katika ufisadi wa Escrow - Prof Tibaijuka
Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka amesema kuwa hausiki na aina yoyote ya ufisadi wa fedha zilizokuwa katika akaunti ya Tageta Escrow. Akiongea na wajumbe wa chama hicho wilayani Muleba...
View ArticleMsama azungumzia "kuachana" na Rose Muhando, Akanusha Rose Muhando kutumia...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama, ametamka kuwa yeye si Meneja wa malkia wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando akisema amekuwa akishirikiana naye katika...
View ArticleWaliokuwa wanaelekea kwa Lowasa 'kula mwaka mpya' warudia njiani
Baadhi ya wafuasi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wamerudia njiani baada ya kupata taarifa za kutokuwapo kwa sherehe ya kupokea mwaka mpya ambayo hufanyika kila mwaka nyumbani kwake Monduli...
View ArticleSheikh Ponda Anyimwa Dhamana
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imemnyima dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa katika kesi yake ya jinai namba 128 ya mwaka 2013 leo. Kesi hiyo...
View ArticleRais Kikwete amteua Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Rais Jakaya Kikwete amemteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akichukua nafasi iliyoachwa na Jaji Frederick Werema aliyejiuzulu Desemba 16 kutokana na kuhusishwa na kashfa ya Akaunti...
View ArticleMaajabu ya Shinyanga: Ndugu waamua kumzika marehemu na kuku tumboni
Katika hali isiyokua ya kawaida mwili wa Benadetha Steven mwenye miaka 35 aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingizwa kuku ndani ya...
View ArticleIkulu Yasema: Rais hajadharau Bunge
KURUGENZI ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema Rais Jakaya Kikwete hajadhalilisha Bunge ama wabunge. Pia, imesema uteuzi uliofanywa na Rais wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la...
View ArticlePanya Road 510 Wakamatwa Dar.....Wamo Viongozi Watatu wa Mtandao Mzima
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam linawashikilia vijana 510 wa kikundi cha uhalifu linachojiita panya Road wakiwemo viongozi watatu wa kikundi hicho. Hatua hiyo imekuja kutokana na...
View ArticleWastara: sifaidiki na kazi za Sajuki
Msanii wa filamu Wastara Juma, ambaye ni mjane wa aliyekuwa staa wa filamu mahiri nchini, Marehemu Sajuki Juma Kilowoko, ameweka wazi kuwa baada ya kufariki kwa mumewe, hakuna manufaa yoyote ambayo...
View ArticleKafulila: Wanaotetea 'wezi' wa Escrow wanajisumbua
Mbunge wa Kigoma kusini, David Kafulila, amesema wale wanaojaribu kumkingia kifua Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo pamoja na watuhumiwa wengine ili wasiwajibishwe wanajisumbua....
View ArticleMwanasheria Mku MPYA Wa Serikali Aaapishwa.......Aahidi Kushughulikia Usiri...
Mwanasheria mkuu wa serikali George Masaju amewataka watanzania kujenga imani na serikali yao juu ya masuala mbalimbali ikiwemo ya mikataba hasa inayogusa maslahi ya taifa. Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMwanamke Ajifungua mapacha walioungana, Musoma
Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya Buhare katika manispaa ya Musoma mkoani Mara Bi Helena Paulo mwenye umri wa miaka 20 amejifungua watoto wawili mapacha ambao wameungana katika eneo la kifua...
View ArticleBinti Achomekwa Chupa Sehemu za siri na Kujeruhiwa vibaya kwa Kipigo jijini...
MKAZI wa Kitangiri jijini hapa, Biera Edwin (22) amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Sekou Toure akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake kwa tuhuma za kuwa na...
View ArticleAua, ajiua, aacha ujumbe wa kurasa nne
Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40), mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema...
View ArticleEwura Yashusha Bei za Mafuta.....Ni kuanzia kesho January 7 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu...
View ArticleMabomu ya Machozi yatumika Kuzima Vurugu zilizojitokeza jijini Dar wakati wa...
Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kufyatua mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark Ubungo ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa...
View ArticleKamati ya Miss TZ waililia wizara
Kamati ya Miss Tanzania imesema kuwa imeiandikia barua Wizara ya Habari Tamaduni na Michezo kuomba kikao cha pamoja kati yao na BASATA ili kutafuta usuluhishi wa hatua ya Baraza hilo kuyafungia...
View ArticleMkuu wa mkoa wa Mwanza atoa siku tano kwa wanakijiji kwimba kuhakikisha...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ametoa muda wa siku tano kwa wakazi wa kijiji cha Ndami na jeshi la jadi Sungusungu wilayani kwimba, kuhakikisha wanampata mtoto mwenye ulemavu wa ngozi –...
View ArticleViongozi wa Siasa Wamtaka Rais Kikwete Afanye Maamuzi juu ya Waziri wa...
Viongozi wa vyama vya siasa nchini wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi yake aliyoahidi wakati wa mkutano na wazee wa Dar es Salaam ya kufanya maamuzi ya kumwajibisha waziri wa nishati na...
View ArticleCCM Shinyanga yalaani UVCCM kufunga ofisi.
KAMATI ya siasa ya halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini mkoani humo, imelaani kitendo cha jumuiya ya umoja wa vijana wa chama hicho, kufanya maandamano na kufunga...
View Article