Werema apokelewa kwa furaha kijijini kwake
Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Fredrick Werema amepokelewa kijijini kwake baada ya kujiuzulu nafasi hiyo hivi karibuni. Jaji Werema amepokelewa kijijini kwake baada ya...
View ArticleHotuba ya Rais Kikwete Aliyoitoa Tarehe 31 Disemba 2014 kuukaribisha Mwaka...
Ndugu zangu; Watanzania Wenzangu; Kama ilivyo ada imefikia siku ya kuuaga mwaka mmoja na kuukaribisha mwaka mwingine. Leo tunauaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015. Tunamshukuru Muumba...
View ArticleBush kuiongoza Marekani kama Rais kwa mara nyingine.
Gavana wa zamani wa Jimbo la Florida nchini Marekani Jeb Bush ametangaza kujiuzulu nafasi mbalimbali ambazo anashika kwenye makampuni kadhaa pamoja na nyadhifa anazoshika kwenye bodi za taasisi...
View ArticleZitto Kabwe, Lipumba waiteka Mtwara
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba pamoja na mbunge wa Kigoma kaskazini Mh Zitto Kabwe wamewataka wanachi wa mikoa ya kusini kutambua kuwa rushwa ndani ya serikali ya inayoongozwa na CCM haiwezi...
View ArticleWatanzania watakiwa kuchagua viongozi wenye sifa
Katika kuingia mwaka mpya wa 2015 ambao pia ni mwaka wa uchaguzi,viongozi wa dini wamewaasa watanzania kuchagua viongozi wenye sifa kwani mustakabali wa taifa uko mikononi mwa wananchi na sio...
View ArticleSerikali Yaitaka Kampuni ya Steps Entertainment Kusitisha Ushushwaji wa Bei...
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imepokea malalamiko kutoka kwa wasambazaji wa filamu kuhusu ushushwaji wa bei za filamu uliotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment. Wizara...
View ArticleSandra: Shilole Usidanganyike na Pete ya Uchumba
Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache...
View ArticleWatanzania wahakikishiwa amani mwaka 2015
Serikali ya Tanzania imesema haitawafumbia macho watu wote watakaothubutu kuvuruga amani ya nchi kwa njia yoyote katika mwaka 2015, na kwamba vyombo vya dola vimejipanga kuwashughulikia kikamilifu....
View ArticleRose Muhando Atumbuiza Jukwaani na "Kitumbo"
Baada ya kudaiwa kulipwa fedha na kuingia mitini kwenye matamasha mbalimbali, mwanamuziki ‘grade one’ wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani) amenaswa akitumbuiza jukwaani akiwa na ujauzito...
View Article"Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu"...Ujumbe Mzito wa Lulu...
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena) Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa...
View Article"Sijawahi kutoa wala kupokea Rushwa na bado nina dhamira ya dhati ya...
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema bado ana dhamira ya dhati ya kumsaidia rais Jakaya Kikwete katika uongozi wa taifa la Tanzania na kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi, ili waweze kujiletea...
View ArticleMke wa Mtu Asaula Nguo Akimfuta Jasho Bi. Harusi
Mwanamke mmoja ambaye inadaiwa ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mishi Choggo ametoa kali ya mwaka baada ya kusaula kisha kutumia gauni lake kumfutia jasho bi. harusi. Bi’mkubwa huyo alifanya...
View ArticleJokate Ampa Makavu Diamond.......Asema hana Akili Timamu
Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu...
View ArticleWEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond. Kwamujibu wa...
View ArticleAunt Ezekiel: Mume wangu Hajui kama nina Mimba
Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amefunguka kuwa, licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana taarifa yoyote juu ya kitumbo hicho. Akizungumza na mwandishi...
View ArticleJokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu za Mambo ya Mapenzi!
Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesema kuwa hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na mwanaume hasa asiyemjua. Jokate alifunguka hayo wakati...
View ArticleSakata la Escrow: Kafulila Ajipanga Kupeleka Hoja Binafsi Kumng'oa Pinda
SASA kuna kila dalili kuwa mwangwi wa kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow iliyotikisa mkutano wa 16 na 17 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, utaendelea kusikika kwa namna ya kuishinikiza...
View ArticleWaliotembea km 1, 200 kwenda Ikulu wakamatwa
ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa...
View Article"Panya Road" 36 watiwa mbaroni Dar
Jeshi la polisi nchini linawashikilia vijana 36 wa kundi maarufu Panya Road wanaodaiwa kufanya vurugu na kupora mali za watu na kusababisha taharuki katika jiji la Dar es salaam huku baadhi ya...
View ArticleMkurugenzi Iramba alipukiwa Bomu nyumbani kwake
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba Bi. Halima Mpita amekumbwa na hali ya taharuki baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu lililowekwa katika mfumo wa zawadi aliyoipokea...
View Article