Mvua Yaua Jijini Dar.....Mtoto Asombwa na Maji akiwa Amelala, Ajuza aangukiwa...
MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia...
View ArticleBinti Ajizalisha na kutumbukiza mtoto kwenye ndoo
MSICHANA mmoja mkazi wa Mtaa wa Zaire eneo la Kijenge Kaskazini mkoani Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru chini ya ulinzi mkali wa Polisi baada ya kujizalisha mwenyewe na kisha...
View ArticleMgombea urais atabiriwa kifo.....Yadaiwa Atafariki Ghafla Akiwa Jukwaani
Maalim Hassan Hussein, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, marehemu Sheikh Yahya Hussein, ametabiri mambo 18 yatakayotokea mwakani, likiwamo la kufariki ghafla kwa kiongozi mmoja mzee...
View ArticleWashitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mahakamani
Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi wamegoma kushuka kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakishinikiza...
View ArticleAJALI: Lori la mafuta lateketea kwa moto huko Tanga
Lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga nguzo ya umeme maeneo ya Amasia huko Handeni mkoani Tanga leo.
View ArticleKimenuka: Simba nayo yawatimua Makocha wake
Klabu ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya timu.
View ArticleThea: Hatuvai Vimini Kusaka Mabwana, Vimini ni KIKI tu ya Mjini
MWIGIZAJI Ndumbagwe Misayo maarufu kama Thea, amesema wasanii huvaa sketi fupi ‘vimini’ wakilenga kwenda na wakati na si kujipitisha mbele ya wanaume. Thea aliiambia Mwanaspoti, kuwa ni kama...
View ArticleMapenzi Moto Moto: Diamond Kula Sikukuu ya Mwaka Mpya Rwanda na Mpenzi Wake...
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana. Diamond Platnumz...
View ArticleSamantha Apokelewa Kwa Mikono Miwili na Familia ya Idris ( Mshindi wa Big...
Mapenzi /urafiki wa Idris Sultan na mrembo wa Afrika Kusini aliyekuwa swahiba wake wa karibu kwenye shindano la Big Brother Africa, Samantha, umefika kwenye hatua ya juu zaidi. Samantha ambaye bado...
View ArticlePolisi Yatangaza Msako kwa Wanawake Wanaofanya Biashara ya Ngono
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu kwa biashara hiyo. Msako huo unatokana na malalamiko ya muda...
View ArticleNimeamua Kutoka Kimapenzi na Binti wa Kazi ( Hausigeli) , Sina Jinsi…
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja...
View ArticleAjali Yaua Wanne Moshi....Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Handeni
Watu wanne wamekufa na watatu wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti, zilizotokea Moshi mkoani Kilimanjaro na Handeni mkoani Tanga. Katika ajali ya Moshi, watu wanne wamefariki papo hapo na wengine...
View ArticleHakimu AJITOA kesi ya Ugaid ya Shekhe Farid
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi...
View ArticleMtoto ALBINO wa miaka minne atekwa jijini Mwanza.....Polisi waahidi milioni 3...
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne, akiwemo baba mzazi, Emmanuel Shirinde (28) wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel ambaye aliporwa na watu wasiojulikana waliovamia...
View ArticleKwa heri mwaka 2014 uliyenogeshwa na Vituko Vingi na Matukio motomoto...
Hatmaye miezi 12 imekamilika leo ikiashiria kumalizika kwa mwaka 2014 utakaokumbukwa na wengi kwa kuwa na matukio motomoto. Matukio ya kukumbukwa ni mengi, hata hivyo andiko hili litahitimishwa kwa...
View ArticlePicha za Mtuhumiwa aliyeuawa kwa kupigwa Risasi na Polisi Mahakamani leo
JESHI la Magereza limefanikiwa kumdhibiti Mahabusu wa Kesi ya dawa za kulevya ambaye ni Raia wa Sieralioni, Abdul Koroma (33) asitoroke chini ya Ulinzi wa Askari Magereza ndani Mahakama ya Hakimu...
View ArticleAkamatwa akijiandaa kufanya ujangili
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limeendelea na operesheni shirikishi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, askari wa hifadhi ya taifa TANAPA, hifadhi ya mikumi na wananchi ambapo wamemtia...
View ArticleMvua zasabaisha mafuriko Morogoro
Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda mfupi mjini Morogoro zimesababisha mafuriko na baadhi ya barabara kushindwa kupitika na maji kujaa katika baadhi ya maduka. Wakazi wa mji wa Morogoro wakizungumzia...
View ArticleWananchi walilia ardhi iliyouzwa kwa mwekezaji
Wakazi wa kijiji cha Ayalabe kata ya Ganako wilaya ya Karatu wameiomba serikali isikie kilio chao kwa kuchukua hatua kwa watendaji wa halmashauri waliohusika katika kuuza hekari 30 za ardhi ya shule...
View ArticleMwakyembe atimua watumishi 6 TRL
Waziri wa Uchukuzi nchini Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe amewafukuza kazi wafanyakazi 6 wa Shirika la Reli nchini (TRL) kwa makosa ya wizi wa fedha na ameamuru wakamatwe kuanzia jana na wafunguliwe...
View Article