Diamond: Aliyenifundisha Kuongea Kiingereza ni Penny, sio Wema Sepetu
Wakati kila mtu akiamini mwalimu wake wa lugha ya Kiingereza ni Wema Sepetu ‘Madam’ staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibuka na kudai aliyemfundisha lugha hiyo ni aliyekuwa mpenzi wake,...
View ArticleMke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass
Tabia ya wanawake kujiuza kwa kisingizio cha kusaka fedha kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi imewatokea puani wanawake zaidi ya kumi akiwemo mke wa mtu baada ya kunaswa mawindoni na kutiwa nguvuni....
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 22 Disemba 2014
Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 22 Disemba 2014
View ArticleWema Ampongeza Jokate Lakini Asisitiza Kuendelea Kumnunia
Mastaa mbalimbali wamajitokeza na kumponzea mwanadada Jokate Mwegelo kwakuweza kupambana na kufanikiwa kuingia mkataba na kampuni kutoka China , kwaajili ya kutengeneza vitu mbalimbali kama nywele,...
View ArticleSakata la Escrow: Rais Kikwete Amfukuza kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametengua uteuzi wa waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Prof. Anna Tibaijuka kutokakana na makosa ya ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma hasa namna...
View ArticleMume Ajinyonga Ukweni baada ya Mkewe Kumkataa
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, wilayani Butiama, Ryakora Kurwijira (34) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shati lake akiwa ukweni baada ya kukataliwa na mkewe aliyekuwa...
View ArticleMtu mmoja Afariki Dunia baada ya kulipuliwa na bomu alilotaka kuwarushia...
Askari polisi aliyejeruhiwa Jeshi la polisi limeunda timu ya makachero kutoka makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es salaam wakishirikiana na wa mkoa wa Ruvuma kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio...
View ArticleDiamond Hana Uwezo wa Kumpa Mwanamke Ujauzito
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba...
View ArticleMgombea Uenyekiti na Mfanyakazi wake wauawa kwa kukatwa Mapanga
ALIYEKUWA mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Serikali ya kitongoji cha Idodomiya kijiji cha Kanoga na mfanyakazi wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kaliua mkoani Tabora,...
View ArticleMwenyekiti wa CHADEMA Atimuliwa nchini kwa madai kwamba sio Raia wa Tanzania
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio...
View ArticleWanaoambukiza UKIMWI kwa makusudi kushughulikiwa
SERIKALI wilayani Kiteto mkoani Manyara imewataka watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi kuacha kuambukiza wengine kwa makusudi kwa kufanya ngono zembe. Akizungumza kwenye maadhimisho ya Ukimwi ambapo...
View ArticleKorea Kazkazini yadai Rais Obama ni Sawa na Tumbili
Korea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita. Tume ya taifa ya ulinzi nchini Korea Kaskazini inasema kuwa Marekani inavuruga mifumo ya...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumapili Ya Tarehe 28 Disemba 2014
Magazeti ya Leo Jumapili Ya Tarehe 28 Disemba 2014
View ArticleTibaijuka: Nitagombea Ubunge Mwakani licha ya Sakata la Escrow
Siku chache baada ya Rais Kikwete kumfuta kazi Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makazi ,mbunge huyo amewaambia wapiga kura wake kwamba hawakumchagua kama waziri bali kama mwakilishi wao....
View ArticleWaziri Nyalandu atangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania
Mbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani. Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba...
View ArticleKashfa ya Escrow ndo sababu kuu ya Anguko la CCM-Wassira
Mh. Stephen Wassira, amekiri kuwa kutochukua hatua za mapema kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow ni moja ya sababu ambayo imesababisha chama hicho kutofanya vizuri...
View ArticleJiji la Dar es Salaam Lakumbwa na Mafuriko....Maduka yafungwa, Magari...
Mvua zilizonyesha kwa muda mfupi katika jiji la Dar es Salaam zimesababisha mafuriko katika maeneo ya katikati ya jiji na kusababisha baadhi ya maduka kufungwa na magari kuzimika barabarani kutokana...
View ArticleFella adai alipigwa mkwara na mashehe kwa kumvalisha suruali Bibi Cheka
Said Fella amedai kuwa mashehe waliwahi kumfuata na kumtaka aache tabia ya kumvalisha suruali Bibi Cheka. Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi TV, Fella alisema mashehe hao walimfuata na kumwambia...
View ArticleBilionea wa Nigeria ampiku Oprah na kuwa mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani
Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures...
View ArticleWastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika. “02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi...
View Article