Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Aisha Madinda: Kutoka Kigoma,Uholanzi,Dubai hadi Kifo

Siku ya Desemba 17, mwaka huu haikuwa poa hata kidogo kwenye tasnia ya muziki wa dansi Bongo katika kipengele cha unenguaji. Zilikuwa ni habari mbaya za kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei mbaya wa Bendi...

View Article


Sakata la Escrow: Tibaijuka Agoma kujiuzulu.....Asema Yeye na Prof Muhongo...

Siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, ameibuka na kusema yeye pamoja na Waziri...

View Article


Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2015 Watajwa

Jumla ya wanafunzi 438,960 kati ya wanafunzi 451,392 waliofaulu mtihani wa darasa la saba nchini Tanzania wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za serikali za sekondari kwa awamu ya...

View Article

Johari: Namsubiri Mwanaume wa Kunifungua Kizazi

Pamoja na tetesi kuwa nguli wa filamu za Kibongo Blandina Chagula ‘Johari’, ameshindwa kushika mimba, mwenyewe ameamua kufunguka na kudai kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata...

View Article

Hatimaye Mwili wa Aisha Madinda Wafanyiwa Uchunguzi, Kuzikwa Leo Mchana

Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na mtandao wa Saluti5, mkurugenzi wa...

View Article


Mtoto afanyiwa unyama na mama yake mzazi

Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita amefanyiwa visa vya kinyama na mama yake mzazi, ambaye  anadaiwa kumjeruhi vibaya kwa kumchoma moto mikono yake na kisha kumfungia ndani kwa siku nne akiugulia...

View Article

Jokate Mwegelo asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina

Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006,  mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina,  Rainbow Shell Craft...

View Article

Aisha Madinda Azikwa Kibada Kigamboni

WAKURUGENZI wa bendi hasimu za dansi Tanzania, African Stars, Asha Baraka na Extra Bongo, Ali Choki, jana wameongoza mamia ya waombolezaji kumzika aliyekuwa mnenguaji wa zamani wa bendi hizo, Aisha...

View Article


Serikali "kuwaanika" wanaoiba dawa kutoka MSD

Serikali imesema itawataja hadharani watu wote wanaodaiwa kujihusisha na wizi wa dawa zinazonunuliwa na serikali kupitia Bohari Kuu ya Madawa (MSD) ili waweze kutambuliwa na wananchi, ambao wamekuwa...

View Article


Wakazi 500 wa Kiseke Mwanza, kuhama kupisha mnara wa Rada

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania – TMA, kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Nguvu za Atomiki imewataka wakazi wa Kiseke jijini Mwanza wanaoishi ndani ya eneo la mita 500 hadi kilometa moja toka eneo...

View Article

Uchaguzi Serikali za Mitaa: UKAWA Kigoma wafanya Maandamano Makubwa

Mamia ya wananchi na wafuasi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA katika kata ya Kumsenga wilayani Kibondo mkoani Kigoma, wameandamana kupinga wagombea wa UKAWA kuondolewa katika uchaguzi wa serikali...

View Article

CCM Mara Watishia Kufanya Maandamano

Chama  cha Mapinduzi  wilaya  za Rorya na Musoma mkoani Mara  wamemtaka  waziri  mwenye dhamana na serikali za mtaa kuchukua hatua za haraka kwa wakurugenzi  wa halmashauri hizo  kabla ya kuitisha...

View Article

Rais Kikwete Kulihutubia Taifa Tarehe 22, Jumatatu Mchana

Rais Kikwete ameahirisha kulihutubia taifa   kupitia "Wazee wa Dar" ambapo sasa ataongea nao Jumatatu wiki ijayo(Disemba 22, 2014). Ikulu imethibitisha na kusema muda utatangazwa.   Rais kikwete jana...

View Article


Flora Mbasha awasilisha Mahakamaini Dai la Talaka na Maombi Kuhusu Mtoto na...

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania,Flora Mbasha, amekwenda katika mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar-es-Salaam, akiomba kuvunjwa kwa ndoa yake na mumewe Emanuel Mbasha. Flora...

View Article

Chadema: Uchaguzi Serikali za Mitaa ulihujumiwa

Kamati Kuu ya Chadema imesema tathmini yao kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka huu imebaini kuwa ulihujumiwa.   Pia, kimewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa...

View Article


Amtupa Mjukuu nje ya Basi likiwa katika Mwendo

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida mama moja aliye kuwa akisafiri na  mtoto wake mmoja na wajukuu zake wawili, aliamua kumtupa mjukuu wake wa miaka sita dirishani huku basi likiwa katika mwendo kasi na...

View Article

Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 21 Disemba

Magazeti  ya Leo Jumapili ya Tarehe 21 Disemba

View Article


Taarifa ya ziara ya Waziri Mkuu nchini Qatar

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewasili jijini Doha, Qatar jana usiku (Jumamosi, Desemba 20, 2014) kwa ziara ya siku tatu kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo inayotarajiwa kuanza leo. Lengo la ziara ya...

View Article

CHADEMA Watoa Tahadhari kwa Rais kuhusu Kuwatetea Wahusika wa Sakata la Escrow

C/HQ/ADM/PRESS/37 21/12/2014 Ndugu waandishi wa habari, Tumewaita hapa baada ya kupata fununu kuwa Rais Jakaya Kikwete anataka kutumia hotuba yake ya kesho( leo ) na wanaoitwa, “Wazee wa Dar es...

View Article

Ikulu yaitisha mkutano na Wanahabari Jumatatu 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

Taarifa iliyotolewa jana usiku  na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam, ilieleza kuwa kumeitishwa Mkutano na waandishi wa habari Jumatatu asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam....

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>