Askofu Gwajima Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Kawe.....Mshindi ni Furaha...
Zoezi la kura za maoni katika Jimbo la Kawe Dar es salaam CCM, limemalizika na Furaha Dominic Jacob ameongoza kwa kupata kura 101.Furaha Dominic Jacob - 101 Angella Kiziga - 85Josephat Gwajima -...
View ArticleMtoto wa Lowassa Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Monduli
Mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Lowassa, Fredrick Lowassa leo July 21,2020, ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha baada ya kupata kura 244 Katika nafasi ya pili yupo Julius Kalanga...
View ArticleRais Dkt. Magufuli Awashukuru Wazee Wa Nachingwea
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru wazee wa Nachingwea kwa mchango wao wa sh. 100,000 walioutoa ili umsaidie katika kipindi hiki cha uchaguzi. Julai 13,...
View ArticleStephen Wasira Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Bunda Mjini
Zoezi la kuhesabu kura za maoni katika Jimbo la Bunda Mjini umekamilika, ambapo Robert Chacha Maboto ameongoza kwa kupata kura 140, akifuatiwa na Stephen Wasira aliyepata kura 115. ---------Robart...
View ArticleOle Sendeka Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Simanjiro
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro kwa kupata kura za 309, akifuatiwa na Kiria aliyepata kura 47 na wa tatu ni...
View ArticleHamisi Taletale (Babu Tale), Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la...
Hamisi Taletale (Babu Tale), ameongoza kwenye kura za maoni katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa kupata kura 318, akifuatiwa na Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba aliyepata kura 242 na wa...
View ArticleLIVE🔴: Rais Magufuli Azindua Jengo La Ofisi Za Tume Ya Uchaguzi - NEC,...
LIVE🔴: Rais Magufuli Azindua Jengo La Ofisi Za Tume Ya Uchaguzi - NEC, Njedegwa Dodoma
View ArticleJaribio la mapinduzi la mwaka 1989: Omar al-Bashir akabiliwa na adhabu ya kifo
Kesi mpya inayomkabili aliye kuwa rais wa Sudan Omar al-Bashir ilianza jana Jumanne, Julai 21. Omar al-Bashir aliondoka madarakani baada ya mapinduzi ya kijeshi mwezi Aprili 2019.Omar al-Bashir...
View ArticleHESLB yaanza kupokea maombi ya mikopo kwa 2020-2021, bajeti mwaka huu yaongezeka
Na Ismail Ngayonga - HESLB (0717 084252),BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Jumanne, Julai 21, 2020) imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka wa...
View ArticleMakamu wa Rais Mgeni Rasmi CRDB Bank Marathon, Shilingi milioni 200...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amemshukuru Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika mbio za kwanza za hisani za “CRDB Bank Marathon”...
View ArticleViongozi wa vyama vya siasa kupewa ofisi kwenye jengo Jipya la NEC- Dodoma
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini watapatiwa ofisi katika jengo jipya la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya shughuli zao za kisiasa.Pendekezo hilo limetolewa...
View ArticleHaya hapa Matokeo ya kura za Maoni CCM Majimbo Saba ya mkoa wa Manyara
Na John Walter-ManyaraMchakato wa kura za Maoni Majimbo saba ya mkoa wa Manyara umeenda vizuri ambapo uchaguzi ulifanyika kwa uwazi kila mgombea akisimamia kura zake.Katika mchakato huo wapo wabunge...
View ArticleRais Magufuli akerwa TAKUKURU kutaka kujenga ofisi Chato...."Mjipendekeze...
Rais John Magufuli ameelezwa kukerwa na kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kuomba feddha kiasi cha shilingi bilioni 1 za kujenga ofisi wilayani Chato mkoani Geita...
View ArticleMarekani yaamuru China kufunga ubalozi mdogo Houston
Marekani imeitaka China kufunga ubalozi wake mdogo katika jiji la Texas katika Jimbo la Houston, Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema ikilaani vikali uamuzi huo na kutishia kuchukua hatua za...
View ArticleNchi Sita Za Afrika Zakutana Kuziba Mianya Ya Kufanyika Uhalifu Wakati Wa Corona
Wawakilishi wa kudumu wa umoja wa Afrika katika Umoja wa Kimataifa pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na dawa za kulevya na Nchi sita za Afrika zimefanya mkutano maalum kwa lengo la...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Tatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa wanaume wengi. ___________________==>Yajuwe matatizo yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume___________________ 👉(1)...
View Article