Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel Aongoza Kura za Maoni CCM Jimbo la...
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Siha, Kilimanjaro kwa kupata kura 148.Dkt. Mollel amefuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Tabora, Agrey Mwanry mwenye...
View ArticleDk. John Pallagyo Amgalagaza Joshua Nassari Kura Za Maoni CCM Jimbo La...
Aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari ameangukia pua katika kura za maoni jimbo hilo ndani ya CCM kwa kushika nafasi ya nne akipata kura 26.Aliyeibuka mshindi kwenye...
View ArticleAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti Aibuka Kidedea Kura za...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Misungwi . Mnyeti ameongoza kwa kura 406 akifuatiwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Charles Kitwanga...
View ArticleKauli Ya Steve Nyerere baada ya kupata kura 6 Iringa Mjini
“Kwanza nichukue nafasi hii kusema asante Mungu kwa kila jambo, hakika nimeona uwezo wako nimeona nguvu yangu nimeona kipaji changu nimeona jinsi gani Baba anavyonipigania kwenye kila jambo, niseme...
View ArticleWaziri wa Kilimo Japhet Hasunga Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-SongweWaziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameibuka kidedea baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni wakati wa mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Vwawa...
View ArticleWizara Ya Kilimo Yajipanga Kukuza Kilimo Cha Mboga Mboga Nchini
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya leo (tarehe 20/07/2020 ) amesaini mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Kilimo na World Vegetable Center ili kuboresha utafiti na uendelezaji wa mazao...
View ArticleHarrison Mwakyembe Ashika Nafasi ya Tatu Kura za Maoni Jimbo la...
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameshindwa kura za maoni Jimbo la Kyela Mkoa wa Mbeya kwa kupata kura 252 dhid ya mshindi Ally Mlagila Kinanasi aliyepata kura...
View ArticleAliyewahi kuwa waziri wa Viwanda Charles Mwijage Aibuka Kidedea Kura za Maoni...
Na Avitus Benedicto Kyaruzi, Kagera.Aliyewahi kuwa waziri wa Viwanda nchini na Mbunge wa Muleba Kaskazini mkoani Kagera mh Charles Mwijage (CCM) ameibuka kidedea katika kura za maoni jimboni...
View ArticleDavid Silinde Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Tunduma.....Mshindi ni Aden...
Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chadema, David Silinde ameshindwa kura za maoni Jimbo la Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 118 huku Aden Mwakyonde akiibuka...
View ArticleProfesa Jumanne Maghembe Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la...
Waziri wa zamani wa maliasili na utalii ambaye ni mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Profesa Jumanne Maghembe ameshindwa katika kura za maoni za CCM kwa kupata kura 130...
View ArticleAlichokisema Makonda Baada ya Kushindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Kigamboni
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda amewashukuru wale wote waliompa pole baada ya matokeo ya jana aliyoyapata kwenye kura za maoni Jimbo la Kigamboni na kusema kuwa jambo moja muhimu...
View ArticleBREAKING: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Yatanganza Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Tanzania
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, Uchaguzi Mkuu wa udiwani, ubunge na Urais wa Tanzania utafanyika Jumatano Oktoba 28, 2020. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
View ArticleDavid Kafulila Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Kigoma Kusini ....Mshindi...
Hasna Mwilima amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM kwa kupata kura 273 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Nashon Bidyanguze aliyepata kura 143.Aliyekuwa...
View ArticleSuleiman Nchambi Aibuka Kidedea Kura za Maoni jimbo la Kishapu
Zoezi la kuhesabu kura za maoni jimbo la Kishapu limekamilika, ambapo Suleiman Nchambi amepata kura 544, akifuatiwa na Kishiwa Francis Kapale kura 54 na Boniphace Butondo kura 40.Jumla ya Wajumbe...
View ArticleVIDEO: Mgombea Atumia Lugha Ya Kichina Kuomba Kura Jimbo La Kawe
Uchaguzi wa kura za maoni kwenye Jimbo la Kawe Dar es salaam unaendelea muda huu ambapo Watia nia mbalimbali wanajinadi mbele ya wajumbe.Mtia Nia namba 75 yeye kaamua kutumia lugha ya kichina...
View ArticleUsichelewe .....Pakua sasa hivi App Ya Mpekuzi Ikiwa na Maboresho Mapya. Ipo...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana...
View ArticleHuduma za simu zinavyoisaidia Tanzania kukuza uchumi wake
Mashaka Meela, Dar es Salaam Takwimu za uchumi za hivi karibuni zinaonesha kuwa kuna kila sababu ya kuwa na matumaini na hali ya uchumi wa nchi yetu. Kwa mujibu wa makadirio ya hivi karibuni ya Benki...
View ArticleWaziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa Aibuka Kidedea Kura za Maoni...
Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa ametangazwa kuwa mshindi wa kura za maoni katika mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi wa jimbo...
View Article