Rais Magufuli: Tanzania Tuko Salama na Watalii Wameanza...
Rais Dkt John Pombe Magufuli, amesema kuwa Tanzania imebaki kuwa nchi salama, kwa kuwa ilifanikiwa kutokomeza mbali maambukizi ya Virusi vya Corona baada ya kumtanguliza Mungu na ndiyo maana hata...
View ArticleZuchu Amwaga Machozi Baada Ya Kukabidhiwa Gari Jipya na Boss Wake Diamond...
Staa wa muziki nchini, diamond Platnumz amemzawadia Zuchu gari mpya aina ya Toyota Vanguard hapo jana katika show ya Big Sunday Live ya Wasafi TV.Zawadi hiyo imetolewa ndani ya saa 24 tangu Zuchu...
View ArticleKura za Maoni CCM: Aliyekuwa mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi Aibuka Mshindi
Aliyekuwa mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi amefanikiwa kushinda mchakato wa kura za maoni kwa kupata kura 135.
View ArticleWaziri William Lukuvi aibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Isimani,...
Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kura 453.Lukuvi - 453Kiyoyo - 16Mwilinge - 5Kidunye - 5 Kalinga...
View ArticleWaziri wa TAMISEMI Selemani Jafo Aibuka Mshindi kwenye kura za maoni katika...
Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi.Selemani Jafo-588Hassan Bangusilo- 1Fransis Gosbert -1Mohamed Masenga-1Ally Goha...
View ArticleAbbas Tarimba Aongoza kura za maoni CCM Jimbo la Kinondoni
Mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia, ameshindwa kutetea nafasi yake katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mtulia ameangushwa na Abbas...
View ArticleNaibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo...
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashinda watia nia wenzake 12 wa Ubunge jimbo la Nzega mjini kwa kura 367 kati ya kura 376 zilizopigwa, sawa na asilimia 97.
View ArticleNaibu Waziri wa Ardhi, Dkt. Angeline Mabula Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM
Naibu Waziri wa Ardhi, Dkt. Angeline Mabula ameongoza kwenye kura za maoni Jimbo la Ilemela Mwanza kwa kupata kura 502 kati ya kura 685 zilizopigwa. Anayemfuatia ni Israel Mtambalike ambaye amepata...
View ArticleNaibu Spika Dkt. Tulia Ackson aibuka mshindi katika kura za maoni Jimbo la...
Dkt. Tulia Ackson aibuka mshindi katika kura za maoni Jimbo la Mbeya Mjini - CCM baada ya kujizolea kura 843 kati ya kura 886. Dkt. Tulia Ackson Kura - 843Dkt. Mahenge Mabula Kura - 16Charles...
View ArticleDavid Silinde Apiga Magoti Mbele ya Wajumbe Kuomba Apitishwe Kura za Maoni CCM
Zoezi la kujinadi kwa watia nia Ubunge Jimbo la Tunduma limeanza, David Silinde amepiga magoti kuwaangukia wajumbe kumpatia kura zote. Jumla ya wagombea 33 wanajinadi kupeperusha bendera ya CCM...
View ArticleNaibu Waziri Wa Maji Jumaa Aweso atetea kiti chake kibabe Kura za Maoni CCM...
Kutokea Tanga, Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Pangani.Aweso ameongoza kwa kura 282 akifuatiwa na Mohamed Waziri mwenye kura 30.
View ArticleAbdulAziz Abood Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Morogoro Mjini
AbdulAziz Abood ameshinda kura ya maoni CCM kuwania Ubunge wa Morogoro Mjini baada ya kupata kura 524 akifuatiwa na Merkiory Manset aliyepata kura 17. kura zilizopigwa zilikuwa 638.Jumla ya kura...
View ArticleMussa Azzan Zungu Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Ilala
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu ameongoza kura za maoni katika katika Jimbo la Ilala baada ya kupata kura 148 akifuatiwa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya...
View ArticleProf Joyce Ndalichako Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Kasulu Mjini
Prof Joyce Ndalichako ameshinda katika kura za maoni ndani ya CCM kuwania Ubunge wa Kasulu Mjini kwa kupata kura 405, akifuatiwa na Daniel Nsanzugwanko aliyepata kura 80 kati ya 501
View ArticleAbbas Mtemvu Aongoza Kura za Maoni CCM Jimbo la Temeke
Abbas Mtemvu ameongoza kwa kura 203 katika Jimbo la Temeke akifuatiwa na Doris Kilave kura 182 huku watatu akipata kura 40. Idadi ya waliopiga kura ni 367. Mbunge aliyemaliza muda wake Abdallah Mtolea...
View ArticleProfesa Kitila Mkumbo Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Ubungo
Zoezi la kuhesabu kura za maoni katika Jimbo la Ubungo limekamilika, ambapo aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ameongoza kwa kupata kura 172, akifuatiwa na Mwantum Mgonja...
View ArticleEric Shigongo, Charles Tizeba Ngoma Droo Kura za Maoni CCM Jimbo la Buchosa
Watia nia wawili katika Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Charles Tizeba, wamefungana idadi ya kura za maoni ambapo kila...
View ArticleSteve Nyerere Aambulia Kura 6 Kura za Maoni CCM Jimbo la la Iringa...
Dr Jesca Msambatavangu ameongoza kwa kura 190 akifuatiwa na Nguvu Chengula kura 75 huku Ibrahimu Ngwada akipata kura 44 Steve Nyerere kura 6
View ArticleAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo Aibuka Kidedea Kura za Maoni...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameibuka mshindi wa kura za maoni za jimbo la Arusha Mjini kwa kupata kura 333 akifuatiwa na Philemon Mollel kura 68 na wakili Albert Msando akipata...
View ArticleAliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile Aibuka Kidedea Kura za...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshindwa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.Mkutano mkuu wa jimbo hilo umefanyika leo Jumatatu...
View Article