Polepole: Viongozi Wasioridhika na Wenye Tamaa Hawatufai
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole , amesema viongozi wa umma wasioridhika na nyadhifa zao, hawana nafasi ndani ya chama hicho.Polepole ametoa kauli hiyo...
View ArticleMageuzi Ya Mifumo Na Utendaji Heslb Yameimarisha Elimu Ya Juu
Na Mwandishi Wetu,HESLBKATIKA kuhakikisha taifa letu linajenga uchumi ulio imara na jamii inayoheshimu na kufuata misingi ya uwajibikaji na ubunifu, Serikali pamoja na mambo mengine imeendelea kuwekeza...
View ArticleLema apita kura za maoni kugombea ubunge Arusha mjini
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameshinda kwenye kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 181 kati ya kura 207 hivyo anakuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CHADEMA kugombea...
View ArticleBenard Membe Arejesha Fomu ya Kugombea Urais Kupitia ACT Wazalendo
Aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, leo Julai 19, 2020 amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo.Makabidhiano...
View ArticleSerikali Yatoa Mabilioni Kulipa Madeni Ya Wakulima Wa Korosho
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho."Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa...
View ArticleWazee Waishukuru Serikali Kwa Kuwatunza
Wazee wanaoishi kwenye makazi ya Mwanzage na Msufini Mkoani Tanga wameishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuendelea kuwatunza na kuhakikisha wanapata mahitaji yao muhimu.Hayo yamebainishwa kwenye...
View ArticleHotuba Ya Mgombea Wa Urais Wa Zanzibar Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi ,kisiwani...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu, mwingi wa rehma kwa kutuwezesha kukutana hapa hii leo. Kuwashukuru wananchi wa Pemba kwa mapokezi makubwa sana. Napata faraja kazi yetu sasa itakamilika mapema...
View ArticleWazee Kilimanjaro Wajipanga Kumpa Tuzo Na Kumuomba Radhi Rais Magufuli
Na Dixo Busagaga ,MoshiWAZEE katika mkoa wa Kilimanjaro wakiwemo viongozi wa Mila ,Machifu na Malaigwanani wameanza mchakato wa kumpongeza na kumpa Tuzo Maalumu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleFreeman Mbowe, Mchungaji Peter Msigwa Wajitoa Mchakato wa Kugombea Urais CHADEMA
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na makada wengine watatu wamejiengua katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
View ArticleMchujo Mkali Wa Kura za Maoni Kwa Wagombea CCM Waanza Leo
Mchakato wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kupata wagombea katika nafasi mbalimbali unaanza leo ambapo mikutano ya ngazi ya wilaya/majimbo itapiga kura za mapendekezo kati ya leo na kesho.Upigaji wa kura...
View ArticleLIVE: Rasi Magufuli Anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma
LIVE: Rasi Magufuli Anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma
View ArticleUhusiano Uliopo Kati ya Kujichua na Ukosefu wa Nguvu za Kiume
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume....
View ArticleWaziri Mkuu: Ulinzi Wa Nchi Ni Kwa Watanzania Wote
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema suala la ulinzi wa nchi ni la Watanzania wote na siyo la kuwaachia vyombo kama Jeshi la Wananchi, Uhamiaji, Polisi au Magereza.Ametoa kauli hiyo jana (Jumapili,...
View ArticlePICHA: Rais Magufuli Awaapisha Viongozi Mbalimbali IKULU.....Awataka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka viongozi wapya walioapishwa leo kuimarisha ushirikiano mzuri na watendaji waliopo katika maeneo yao ya kazi ili kuongeza...
View ArticleRais Magufuli Ataka Kura za maoni CCM zihesabiwe hadharani ili Kila Mgombea...
Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameagiza wasimamizi wa uchaguzi ndani ya chama hicho kuhesabu kura zote mbele ya wajumbe wa mikutano.Akiwaapisha viongozi...
View ArticleZitto Kabwe Ajitosa Tena Kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini anayemaliza muda wake Zitto Kabwe, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine tena.Kupitia Ukurasa wake wa kijamii wa...
View Article