Wakulima Wa Zao La Kahawa Kagera Watakiwa Kutunza Zao Hilo Kwa Ubora Ili...
Na Avitus Benedicto Kyaruzi,Bukoba Kagera.Wakulima wa zao la kahawa Wilayani Missenyi Mkoani Kagera wametakiwa kuzingatia usafi na ubora wa zao hilo ili kuweza kuteka soko la zao ilo hapa nchini.Hayo...
View ArticlePICHA: Benard Membe Achukua Fomu ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Leo Julai 17, 2020, aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, amechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambapo amekabidhiwa fomu hiyo na...
View ArticleBasi la Kyela Express Lapinduka na Kuua Mtu Mmoja huku Wengine Wakijeruhiwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva wa Basi la Kampuni ya Kyela Express DENIS LAMECK [48] aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T. 756 DEF Scania Basi baada ya kusababisha...
View ArticleWaziri Mkuu Ahimiza Viongozi Wa Dini Kuhubiri Amani
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla watumie nyumba za ibada kuhubiri suala la amani na utulivu.Akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu alipohudhuria sala...
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Shemdoe Akutana na Kufanya...
Na Mwandishi WetuKatibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe, leo Julai 17, 2020 amekutana na wazalishaji wa Saruji nchini kujadili changamoto ya bei na upatikanaji wa bidhaa hiyo...
View ArticleShule ya Sekondari Kinondoni Muslim yateketea kwa moto
Madarasa 11 kati ya 15 ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim iliyoko Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam yameteketea kwa moto.Mbali ya majengo hayo vifaa na samani za shule hiyo vimeteketea kwa...
View ArticleUjenzi Bwawa La Umeme Julius Nyerere; Hatua Zote 8 Za Ujenzi Wa Mradi...
Na mwandishi wetu, JNHPPHATUA zote nane (8) za utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115) kwenye bonde la mto Rufiji unaendelea kwa kasi...
View ArticleMtia nia wa Urais (CHADEMA) Lazaro Nyalandu ataka wagombea kujiandaa na kampeni
Na Amiri Kilagalila,NjombeMtia nia wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema ambaye pia ni mwenyekiti wa kanda ya kati Lazaro Nyalandu amesema chama hicho kitaibuka na...
View ArticleJela Miaka 60 Kwa Kubaka na Kumpa Mimba Mwanafunzi
Mahakama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa imemuhukumu Clement Salama(19) kutumikia kifungo cha miaka 60 jela kwa kosa la kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka...
View ArticleTAKUKURU Yawaonya Wafanyabiashara Kufadhili Gharama za Uchaguzi za Wagombea
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewataka wafanyabiashara kujiepusha na vitendo vya rushwa kwa dhana ya kufadhili gharama za uchaguzi ndani ya vyama vya siasa.Hayo yameelezwa na...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela Acharaza Viboko...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule ya sekondari ya Wavulana ya Oswe na kusababisha hasara ya Zaidi...
View ArticleRais Magufuli ateua Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
Rais wa John Magufuli amemteua Dkt. Mwinyi Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Haji alikuwa Mkurugenzi wa Chuo cha...
View ArticleSaed Kubenea Aitosa CHADEMA na Kujiunga ACT- Wazalendo
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga Chama cha ACT-Wazalendo. Kubenea amejiunga na ACT-Wazalendo leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na...
View ArticleWaziri Mkuu: Vijana, Akinamama, Nendeni Mkalime.....Asema Anayetaka Fedha,...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili kujiongezea kipato.“Biashara ya bustani inalipa sana, yeyote...
View ArticleAboubakar Juma Aboubakar Ajitosa kugombea Urais kupitia chama cha NCCR-MAGEUZI.
Ndugu Aboubakar Juma Aboubakar leo Julai 18,2020 ametia nia kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-MAGEUZI.Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa NCCR-Mageuzi, Evarist...
View ArticleBinti wa miaka 19 ashikiliwa mauaji ya mwanafunzi wa chuo Jijini Mbeya
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SUZY KENNETH KASITEJETA [19] Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji ya LINUS JAMES MAGESA [21] Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya...
View Article