TAKUKURU Yakosa Ushahidi Kesi ya Livingstone Lusinde (Kibajaji)
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma, Sostenes Kibwengo amesema,taasisi hiyo haitaendelea na kesi ya tuhuma za rushwa ya aliyekuwa Mbunge wa Mtera kupitia CCM,...
View ArticleDr Hussein Mwinyi Apokelewa Kwa Kishindo Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Mwinyi, jana alipata mapokezi ya kishindo kutoka kwa wanachama wa chama hicho, alipowasili Zanzibar.Mgombea huyo ambaye aliteuliwa...
View ArticleLIVE: Rais Magufuli Anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma
LIVE: Rais Magufuli Anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma
View ArticleM-bet na Star times yatoa zawadi kwa washindi
Meneja Masoko wa startimes ,David Malisa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya kutoa zawadi mbalimbali kama Smart Tv, vingamuzi na vifurushi mbali mbali...
View ArticleJuma Njemba: Binadamu aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani
Juma Njemba: Binadamu aliyeishi maisha ya peponi akiwa dunianiKuanzia katikati ya miaka ya themanini hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 huko mkoani Kigoma aliishi " fundi " mmoja aliye julikana kwa jina...
View ArticleMaazimio Ya Mkutano Wa SADC Wa Baraza La Mawaziri Wa Fedha Na Uwekezaji
1. Jopo la mapitio ya viashiria vya uchumi mpana linalohusisha Mawaziri wa SADC wenye dhamana ya Fedha na Uwekezaji na Magavana wa Benki Kuu, walikutana kwa njia ya mtandao tarehe 15 Julai...
View ArticleTangaza Biashara Yako Au Bidhaa Yako Kwenye Mtandao huu Kwa BEI NZURI Kabisa
Tunakaribisha matangazo ya aina zote( Bishara, Viwanja, Bidhaa, matangazo ya Vyuo na mengine mengi) .Bei zetu ni nzuri sana na kamwe hutajuta kutangaza biashara yako kupitia mtandao...
View ArticleMkatatue Matatizo ya Wananchi – Rais Magufuli
Na.Immaculate Makilika – MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wateule kwenda kutatua matatizo ya wananchi katika maeneo yao. Akizungumza katika...
View ArticleRais Magufuli: Sijamtuma mtu kugombea ubunge na Hakuna Kiongozi yeyote...
Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi amesema kuwa hadi Julai 16, 2020 asubuhi zaidi ya wanachama 8,000 wa chama hicho walikuwa wametia nia ya kugombea ubunge.Rais Magufuli...
View ArticleTakukuru Manyara yastukia Viongozi wa CCM Kuondoa Majina ya wapiga kura za...
Na John Walter-BabatiTaasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa, imewaonya viongozi wa chama cha Mapinduzi (CCM) ambao wanaondoa majina ya wapiga kura halali wa kura za maoni na kubandika majina ambayo...
View ArticleBenard Membe apokelewa Rasmi ACT Wazalendo....Hizi ni Kauli Zake Baada ya...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini na Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, amejiunga rasmi na chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo na kueleza sababu ya kujiunga...
View ArticleJKT Yatangaza Majina ya Vijana Waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo Mwaka 2020
Na Mwandishi Wetu- Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza majina ya vijana waliohitimu kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara waliochagulwa kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kwa...
View ArticleMembe akubali kuwania Urais wa Tanzania 2020
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania amekubali ombi la wanachama wa ACT-Wazalendo la kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020.Membe ametoa kauli...
View ArticleMafunzo Ya Kilimo Yalenge Kuwa Cha Kibiashara - Katibu Mkuu Kusaya
Wakufunzi wa mafunzo ya Kilimo nchini wameagizwa kufanya kazi kwa weledi kwa lengo la kuwafundisha wanafunzi kuelewa na kuwa mahili katika kilimo kibiashara. Agizo hilo limetolewa leo Jijini Mbeya na...
View ArticleRais Magufuli Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali......yumo Mkuu wa Mikoa,...
Rais John Magufuli leo Julai 17, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo;Kwanza, Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kabla ya uteuzi huo, Dkt....
View ArticleJoshua Nassari Ajitosa Tena Kugombea Ubunge Kupitia CCM
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) kabla ya kuvuliwa Ubunge na baadaye kuamua kuhamia CCM, Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine tena katika...
View ArticleBodi ya mikopo elimu ya juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa...
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40...
View ArticleMkandarasi Wa Maji Iringa Apewa Wiki Nne Kukamilisha Mradi
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ametoa Wiki Nne kwa Mkandarasi Kampuni ya GNMS Contractors ya Iringa na Kampuni ya Hematec Investiment ya Dar es Salaam kukamilisha ujenzi wa...
View Article