Wenyeviti wa serikali za mitaa na wajumbe wao katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji wameapishwa jana kuanza kutumikia wananchi kulingana na nafasi zao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, walitaka serikali kuangalia suala la kulipa mishahara kila mwezi kwa wenyeviti na wajumbe hao.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mnazi Mmoja, kata ya Kitongoni Manispaa ya Kigoma Ujiji, Nuru Bashange
↧