Ikiwa ni wiki moja sasa tangu shule zifunguliwe Mkoani Dodoma ni
wanafunzi 18 kati ya 274 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza
ndiyo waliofika kuanza masomo yao katika shule tatu za kata Wilayani
Mpwapwa.
Hayo
yamebainika jana katika ziara ya kushtukiza ya Ofisa elimu Mkoa wa
Dodoma, Juma Kaponda aliyoifanya katika wilaya hiyo na kujionea hali
halisi ya ukosefu wa wanafunzi
↧