Watoto
mapacha wa kike waliozaliwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara
iliyopo mjini Musoma wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo
wamefariki dunia jana majira ya saa 9.10 Alasiri wakiwa katika hospitali
ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kabla ya kufanyiwa upasuaji.
Watoto hao pacha walizaliwa Januari 4 mwaka huu na mama mmoja mkazi
wa manispaa ya Musoma Helena Paulo
↧