Wananchi
wa kijiji cha Nduoni kata ya Kirua Vunjo magharibi mkoani Kilimanjaro
wamefunga ofisi ya kijiji na kumpiga afisa mtendaji wa kata hiyo kwa
madai ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi uliopita kwa kumtangaza
mgombea wa Chama Cha Mapinduzi kuwa mshindi badala ya mgombea wa chama
cha NCCR Mageuzi.
Wananchi hao walikusanyika katika ofisi ya kijiji hicho wakiwa na
mabango
↧