Hitmaker wa ‘Anita’ Matonya aliwekewa vitu vinavyohisiwa kuwa ni
madawa kwenye pombe aliyokuwa akinywa, kwa mujibu wa Rich One ambaye ni
jirani yake.
Picha ya Matonya inayomuonesha akiwa amelala vichakani hajitambui
ilisambaa wiki hii kwenye mitandao ya kijamii kiasi cha watu kuzusha
kuwa amefariki dunia.
Rich alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa tangu
afahamiane na
↧