Mkazi mmoja wa Kijiji cha Bushembe, wilayani Muleba, mkoani
Kagera amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya kumpiga mwanaye na
kumpasua kichwa.
Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Dickson
Wilson alimtaja mtu huyo kuwa ni Godfrey Joseph, mkazi wa Kijiji cha
Bushembe na kwamba tukio hilo lilitokea Januari 3, mwaka huu.
Wilson
alisema kabla ya kujinyonga, alimpiga mtoto wake wa miaka
↧