Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Mbozi, Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya ghala la kuhifadhia silaha katika kituo hicho.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi
amethibitisha kutokea kwa tukio hilo saa tisa usiku wa juzi kuamkia
jana ambapo Askari huyo alikuwa lindo katika chumba hicho cha silaha.
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa
↧