Wakati utata ukizidi kujitokeza katika uapishaji wa viongozi wa
Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na waliodaiwa kushinda
kuwekwa kando na kuapishwa walioshindwa, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,
Dk Makongoro Mahanga jana alikumbana na zomeazomea hadi kulazimika
kuondoka kwenye Ofisi za Manispaa ya Ilala, Arnatouglou ambako shughuli
hiyo ilikuwa ikifanyika.
Dk Mahanga
↧