Katika hali isiyokuwa ya kawaida, waigizaji Wema Sepetu na rafiki
yake Aunt Ezekiel wameonekana wa kiangua kicheko na kutuma mesegi kwa
simu wakiwa juu ya kaburi la aliekuwa msanii wa Bongo Fleva, marehemu
Albert Mangweha ‘Ngwea’.
Kwa mujibu wa GPL,tukio hilo lilitokea Januari Mosi, mwaka huu ambapo
Wema akiwa na team yake nzima ya Endless Fame walitembelea kaburini hapo
yaliyopo
↧