Naibu waziri wa fedha nchini Tanzania Mwigulu Nchemba amesema serikali
imewasimamisha kazi watumishi Saba wa wizara hiyo kupisha uchunguzi wa
kashfa ya fedha za Akaunti ya Tegeta ESCROW.
Waziri
Nchemba ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es salaam alipotembelea
Hospitali ya Mwananyamala ambapo alisema fedha hizo zilizotumika
kiubadhilifu zingeweza kuokoa maisha ya wagonjwa na hasa
↧