Zoezi la kuwaapisha jumla ya wenyeviti 154 wa serikali za mitaa
walioshinda katika maeneo mbalimbali manispaa ya Ilala jijini Dar es
salaam limefanyika jana katika ukumbi wa Anatogro, chini ya ulinzi mkali.
Mwanasheria
wa Manispaa ya Ilala Bi Hela Mlimanazi jana amewaapisha Wenyeviti wa
serikali za mitaa walioshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa
katika Wilaya ya Ilala
↧