Waziri wa ujenzi, Mh. Dk. John Magufuli ameitaka ofisi ya wakala wa
ufundi na umeme (TEMESA), kuboresha maslahi ya watumishi wa vivuko ili
kuepukana na wizi wa mafuta yanayotumika katika kuendeshea mitambo
pamoja na vivuko hapa nchini.
Dkt.
Magufuli amemuagiza mtendaji mkuu wa TEMESA mhandisi Marcelin Magessa,
kuzingatia ushauri huo wa kuwaboreshea watumishi wake maslahi wakati
↧