KAMATI ya siasa ya halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya
Shinyanga Mjini mkoani humo, imelaani kitendo cha jumuiya ya umoja wa
vijana wa chama hicho, kufanya maandamano na kufunga ofisi za CCM,
wilaya hiyo.
Mwenyekiti
wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini kanali Mstaafu Tajiri Maulidi ametoa
kauli hiyo wakati akitoa tamko la chama, baada ya kamati ya siasa ya
halmshauri
↧