Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ametoa muda wa siku tano kwa
wakazi wa kijiji cha Ndami na jeshi la jadi Sungusungu wilayani kwimba,
kuhakikisha wanampata mtoto mwenye ulemavu wa ngozi – Alibinism, Pendo
Emanuel akiwa hai au amekufa ikiwa ni pamoja na wahusika wa tukio hilo
kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya dola.
Agizo hili la mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo,
↧