Kamati ya Miss Tanzania imesema kuwa imeiandikia barua Wizara ya Habari
Tamaduni na Michezo kuomba kikao cha pamoja kati yao na BASATA ili
kutafuta usuluhishi wa hatua ya Baraza hilo kuyafungia mashindano hayo
kwa miaka miwili.
Akiongea na eNewz, afisa Habari wa kamati ya Miss Tanzania, Bwana Hidan Rico amesema kuwa wameiomba Wizara kama Msimamizi Mkuu wa BASATA, vilevile wakiwa
↧