Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na
kufyatua mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya
Land Mark Ubungo ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa serikali
Mitaa zilikuwa zinafanyika.
Vurugu
hizo, zinadaiwa kuibuliwa na wafuasi wa vyama vya upinzani kwa madai
kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyetaka Kuapishwa
↧