Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40),
mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake
aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema
Kilimanjaro kwa kumpasua kichwa kwa shoka, kisha yeye mwenyewe
kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani katika stoo ya nyumba waliyokuwa
wakiishi.
Inadaiwa kuwa Moshi alichukua uamuzi huo
↧