Mwanasheria mkuu wa serikali George Masaju amewataka watanzania kujenga
imani na serikali yao juu ya masuala mbalimbali ikiwemo ya mikataba hasa
inayogusa maslahi ya taifa.
Akizungumza
na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete
Ikulu jijini Dar es Salaam hafla iliyohudhuriwa pia na makamu wa Rais Dk
Mohamed Gharib Bilal, waziri mkuu Mizengo Pinda, jaji
↧