Mbunge wa Kigoma kusini, David Kafulila, amesema wale wanaojaribu kumkingia
kifua Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo pamoja na
watuhumiwa wengine ili wasiwajibishwe wanajisumbua.
Kafulila
amesema Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo alipewa
muda wa zaidi ya saa moja kujitetea bungeni lakini akashindwa
kuwashawishi wabunge kuwa hakuhusika na wizi wa
↧