Msanii wa filamu Wastara Juma, ambaye ni mjane wa aliyekuwa staa wa
filamu mahiri nchini, Marehemu Sajuki Juma Kilowoko, ameweka wazi kuwa
baada ya kufariki kwa mumewe, hakuna manufaa yoyote ambayo yanaendelea
kupatikana katika filamu.
Wastara
ameongezea kusema kuwa hakuna mafanikio ambayo yanaendelea kupatikana
ama yanatarajiwa kupatikana kwake na familia kutokana na mfumo wa
↧