Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam linawashikilia vijana 510
wa kikundi cha uhalifu linachojiita panya Road wakiwemo viongozi watatu
wa kikundi hicho.
Hatua hiyo imekuja kutokana na Oparesheni iliyofanywa na jeshi hilo kufuatia
uhalifu, hofu na taharuki waliyosababisha siku ya Ijumaa katika maeneo
mbalimbali jijini Dar es salaam.
Akizungumzia Oparesheni hiyo
↧