KURUGENZI ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema Rais Jakaya Kikwete hajadhalilisha Bunge ama wabunge.
Pia, imesema uteuzi uliofanywa na Rais wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Profesa Mighanda Manyahi haukulenga kumdhalilisha yeyote na kwamba umetokana na mamlaka aliyonayo kisheria.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, jijini Dar
↧