Rais Jakaya Kikwete amemteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu
wa Serikali, akichukua nafasi iliyoachwa na Jaji Frederick Werema
aliyejiuzulu Desemba 16 kutokana na kuhusishwa na kashfa ya Akaunti ya
Tegeta Escrow.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Ikulu uteuzi huo ulianza rasmi Ijumaa, Januari 2, 2015
na anatarajiwa kuapishwa leo.
Kabla ya uteuzi wake,
↧