Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka amesema kuwa hausiki na aina
yoyote ya ufisadi wa fedha zilizokuwa katika akaunti ya Tageta Escrow.
Akiongea
na wajumbe wa chama hicho wilayani Muleba Mbunge wa jimbo la Muleba
kusini Profesa Anna Tibaijuka wakati akiendelea kuwatoa wasiwasi
wananchi wake juu ya sakata la Tegeta Escrow amesema kwamba anaendelea
kusimamia shughuli za
↧