Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba Bi. Halima Mpita amekumbwa
na hali ya taharuki baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni
bomu lililowekwa katika mfumo wa zawadi aliyoipokea kutoka kwa wadau.
Jeshi
la polisi mkoani Singida limeamua kuagiza wataalamu wa mabomu kutoka
jeshi la wananchi mkoani Arusha kwa ajili ya kuchunguza na kubaini kitu
ambacho kinasadikiwa
↧