ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka
mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais
Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni, Jordan Rugimbana, kuwazuia kuendelea na safari yao hadi
watakapopata maelekezo.
Vijana hao, Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga, walisema
wameamua
↧