SASA kuna kila dalili kuwa mwangwi wa kashfa ya Akaunti ya Tegeta
Escrow iliyotikisa mkutano wa 16 na 17 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, utaendelea kusikika kwa namna ya kuishinikiza Serikali
kuwajibika zaidi.
Dalili hizi zimeonyeshwa waziwazi na baadhi ya wabunge hususani
waliokuwa vinara wa kupambana na kashfa hiyo ambao hawajaridhishwa na
hatua zilizochukuliwa na
↧