Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesema kuwa
hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na
mwanaume hasa asiyemjua.
Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wa GPL alipotaka kujua namna
ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini
za kushikwashikwa na wanaume tofauti katika filamu ndipo alipofunguka
kuwa
↧