Baada ya kudaiwa kulipwa fedha na kuingia mitini
kwenye matamasha mbalimbali, mwanamuziki ‘grade one’ wa nyimbo za Injili
Bongo, Rose Mhando (pichani) amenaswa akitumbuiza jukwaani akiwa na
ujauzito mkubwa.
Tukio hilo lililowashangaza watu wengi lilitokea Jumapili iliyopita
katika Kijiji cha Ilongero jimbo la Singida Kaskazini kulipokuwa na
mkutano wa hadhara aliokuwa akiuhutubia
↧