Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’
amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa
na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku
chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akiongea na mwandishi wetu, Sandra alisema anafagilia sana
mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri
↧