Waziri wa Uchukuzi nchini Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe amewafukuza
kazi wafanyakazi 6 wa Shirika la Reli nchini (TRL) kwa makosa ya wizi wa
fedha na ameamuru wakamatwe kuanzia jana na wafunguliwe mashtaka mara
moja.
Akiongea
Jijini Dar es Salaam katika mazungumzo yake na wafanyakazi wa TRL
waliopeleka malalamiko ofisini kwake kuhusiana na uonevu wanaofanyiwa,
Dkt. Mwakyembe
↧